Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili

Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona

Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na kuilaani corona
Iddi jumatatu wewe...
 
Covid 19 ipo na inasambaa kwa kasi huku ikichukua maisha ya wapendwa wetu Hayo mambo ya kutaka sifa hata pasipowezekana hayataiacha Tanzania salama.
 
Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili

Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona

Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na kuilaani corona
Serikali iagize nini?
Si bora vile vile serikali ingeagiza Krismasi isheherekewe mwezi November kabisa!
 
Nchi hii ina maajabu mengi. Usishangae hata hili kuwezekana.
 
Back
Top Bottom