Hiyo sherehe ni ya wanaume wa Dar......hapa Mbeya kila siku ni sherehe!Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili
Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona
Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na kuilaani corona
saudi arabia mwezi haujaonekana ila wametangaza Eiid ni kesho kwa wao
Kwni ujui bakwata ilianzishwa na ccmbakwata itangaze ?.bakwata na sherehe izo za makonda wapi na wapi ?.
bakwata ipo nchi nzima izo sherehe ni dar tu.ngoma ya dar unataka ichezwe nchi nzima!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es salaam men
Watu wanadandia vitu wasivyokuwa na ufahamu navyo.Sio wametangaza.wao walianza tarehe 24 mwezi wa tatu.
Leo wapo chungu 30.
Mwezi wa kiislam hauna siku 31.
Kwa hvyo kwa Vyovyote vile.
Mwezi uandame leo au usiandame wao watakula idd kesho.
Wale waliofunga kuanzia jumamosi tarehe 25.
Kama mwezi haujaandama leo.
Inatakiwa wamalizie kesho iwe chungu 30.
Ili jumatatu wale IDD.
Na mungu anajua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kama ilianzishwa na ccm basi ndio iendeshe mambo ya dini kinyume na sheria za dini?Kwni ujui bakwata ilianzishwa na ccm
Kwa hiyo unafkiri ilianzishwa na CCM ili iendeshe mambo ya dini??Kwa hiyo kama ilianzishwa na ccm basi ndio iendeshe mambo ya dini kinyume na sheria za dini?
iiagize?Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili
Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona
Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na kuilaani corona