Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

Iddi jumatatu wewe...
 
Covid 19 ipo na inasambaa kwa kasi huku ikichukua maisha ya wapendwa wetu Hayo mambo ya kutaka sifa hata pasipowezekana hayataiacha Tanzania salama.
 
Serikali iagize nini?
Si bora vile vile serikali ingeagiza Krismasi isheherekewe mwezi November kabisa!
 
Nchi hii ina maajabu mengi. Usishangae hata hili kuwezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…