Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ipo haja Kwa Serikali yetu tukufu kujenga soko la kisasa Karume litakalojumuisha, vizimba, stoo, maeneo ya mama lishe
Kwa hesabu maalumu ili kukidhi haja za wafanyabiashara wote waliokuwepo hapo, vizimba vyote viwe na namba maalum za utambulisho ili kila muhitaji apatiwe kwa namba maalum itakayounganishwa na mfumo wa kodi ili Serikali iweze kupata kilicho chake Kwa urahisi
Ujengaji wa mabanda holela upigwe marufuku, iwekwe mifumo ambayo pia itaweza kukabiliana na majanga ya aina hii.