Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ipo haja Kwa serekali yetu tukufu kujenga soko la kisasa karume litakalojumuisha,vizimba,stoo,maeneo ya mama lishe Kwa hesabu maalumu ili kukidhi haja za wafanyabiasha wrote waliokuwepo hapo,vizimba vyote view na namba maalum za utambulisho ili kila muhitaji apatiwe Kwa namba maalum itakayounganishwa na mfumo wa kodi ili serekali iweze kupata kilicho chake Kwa urahisi,ujengaji wa mabanda holela upigwe marufuku,iwekwe mifumo ambayo pia itaweza kukabiliana na majanga ya aina hii.
Machinga complex limejengwa Kwa mfumo usio rafiki Kwa mfanyabiashara.Machinga complex mlifikia wapi?
Basi mtoa mada nenda kashughulishe tena akili yako vizuriMachinga complex limejengwa Kwa mfumo usio rafiki Kwa mfanyabiashara.
Litakuwa la gorofa 500 na huenda litakuwa moja ya majengo marefu duniani.Ipo haja Kwa Serikali yetu tukufu kujenga soko la kisasa Karume litakalojumuisha, vizimba, stoo, maeneo ya mama lishe
Kwani kasema ghorofa 500?Litakuwa la gorofa 500 na huenda litakuwa moja ya majengo marefu duniani.
Vizimba laki tano hebu Imagine.Kwani kasema ghorofa 500?