Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha sheria za nchi za kicommunist mkuu. Kila mtu ana rangi anayoipenda, na yupo huru kuchagua yeye mwenyewe na nyumba yake.Huo utaratibu upo mkuu na mfano halisi ni Dodoma eneo moja linaitwa Kisasa ni lazima paa la nyumba liwe la rangi nyekundu iliofifia ila kuhusu rangi ya nyumba wengi naona wamepuuzia agizo ila kuhusu paa wengi wametekeleza.
Kabisa mkuu Vitu vingine visivyo na kichwa wala masikio visituchukulie muda tuna mengi sana ya kujadili kama taifa!
Hakika!Si zitakuwa kota hizo, ama hospital au shule, zote hizo ndo zinapangiwa rangi
Black ina ubaya gani?Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia
Kwa mfano. Black