technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Ndio maana nimesema mwanachi akifahamu anatakiwa kupewa risiti halali ya alichonunua ilo tatizo halitakuwepo.Uliposema wasihangaike na wenye maduka ndipo ulipoharibu mkuu maana kwa wenye maduka ndipo ilipo shida unanunua bidhaa ya kilo 4 wanakuandikia risiti ya kilo 2Β½ hapo 2 T unaipataje wananchi siyo shida.
... ha ha ha! Eti EFD zinarekodi mauzo tu hazihangaiki na hayo mengine sijui kodi ya pango, kodi za mainspaa, utilities - sijui umeme, maji, mishara, n.k. hayo hayawahusu Mkuu. Unatakiwa gharama zake uwe umeziongeza kwenye bei ya bidhaa au huduma unazouza.Kwamba EFD zinasajili mauzo tu na ndiyo anayohitaji TRA? Vipi kuhusu kuhusu matumizi?
Vipi kuwa viwango vya kodi labda viko juu mno?
Vipi kuhusu wigo wa kodi kupanuliwa? Vipi madalali ambao wamejaa kila kona, wanalipa kodi kweli hawa?
EFD zipo mbili mbili fake na original ipi sasaMbongo unambembeleza hivyo ataenda? Mimi niliwahi kuleta uzi humu kuwa tumsaidie mama Samia kwa kuwa Sasa hivi kariakoo suala.la risiti ya EFD ni Kama halipo Tena.
Nikashambuliwa Sana na watu humu, sikujua kuwa watu hawapendi kulipa kodi
... ha ha ha! Eti EFD zinarekodi mauzo tu hazihangaiki na hayo mengine sijui kodi ya pango, kodi za mainspaa, utilities - sijui umeme, maji, mishara, n.k. hayo hayawahusu Mkuu. Unatakiwa gharama zake uwe umeziongeza kwenye bei ya bidhaa au huduma unazouza.
Mbongo unambembeleza hivyo ataenda? Mimi niliwahi kuleta uzi humu kuwa tumsaidie mama Samia kwa kuwa Sasa hivi kariakoo suala.la risiti ya EFD ni Kama halipo Tena.
Nikashambuliwa Sana na watu humu, sikujua kuwa watu hawapendi kulipa kodi
... huu nao mtihani!Hahaahaaa haa!
Wewe hujui kuwa kuna bei elekezi? Mtu anauza sukari, ana kituo cha kuzuia mafuta nk.
Hizo gharama anaziongezaje kwenye bei elekezi?
ππππππππ
Hiiiiii bagosha!