FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi.
Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo tukija katika magari ya kuchaji tutakuwa juu kwani tunao umeme mpaka vijijini ni ushauri tu
Sijui WanaJamiiForums wenzangu mna maoni gani.