Nimebold hapo. Sijui kwa nini nashindwa kuamini kama kweli Uganda watachimba mafuta anytime soon.
Kuhusu sisi wenyewe kuchimba mafuta, tafakuri stratijiu inahitajika kuchanganua sekta ya mafuta Libya ya Kanali Ghadafi, ya Norway, na za majimbo ya Texas na Alaska Marekani; na pia kuchanganua sekta muhimu za rasilmali asilia Botswana na Namibia: ili kujitengengenezea a winning strategy kwenye kujichimbia mafuta yetu.