USHAURI: Short Course nzuri za computer ni zipi?

Somea Excell vizuri simple Sana ukijiunga na Freelecer upige Dili online

Kuna njia ya kujiingizia kipato kwa kusaidia watu wenye shida ya kutumia Excel vizuri. Kama wewe unajiamini kwenye mambo ya Excel (bila VBA) unaweza ingia kwenye tovuti moja ya huko Amerika. Kipato chako kinaweza fika dollar 500 kwa wiki kama unao muda wa kutosha na unajua vizuri Excel.
Mimi binafusi nimefanikiwa wiki iliopita kujiunga nikachaguliwa kuwa mmoja wa ma experts. Kwa sasa hivi account yangu inasoma kipato cha dollar 80.7 baada ya siku 9.
Kama unahitaji kujiunga na watalamu wa Excel duniani kusaidia wenzako na kujiingizia kipato, unaweza tumia link hii:
Join today with this link and earn a sign on bonus!.
 
Nini hasa vya kujua kwenye excel au ni vyote kwa ujumla wake?
 
Back
Top Bottom