mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,517
- 6,074
Wasalaam
Tukirejea katika hotuba ya Mwl Nyerere , wakati akizungumzia mapendekezo ya uwepo wa mfumo wa vyama vingi, anaelezea kwa kina dhamira ilikuwa ni kuwapa tahadhari CCM wasijikute wanaangia katika usingizi , na yeye mwenyewe anakiri kuwa kwa wakati huo aliona kuna namna viongozi walilala.
Katika hotuba hiyo hofu ilitanda miongoni mwa wanachama wa CCM kuwa pengine wangeletea ushindani ingeleta hati hati ya wao kutokushika Dora, na hivyo kwa nyuso na masimlizi ya mwl Nyerere inaonekana hawakuwa tayari katika suala hilo.
Na kwa sababu hiyo, leo tunaona namna watu wanavyokuwa na roho ngumu na katili kwa sababu ya utawala, wanahisi wao ndio wanafaa pekee kuimega keki ya taifa, na hivyo kwa kutumia mabavu na jeshi walilonalo wanapiga, wanateka , wanaua na kufungulia watu mashtaka ya uongo ili waendelee kutawala. Na hapa dhana ya multipartism kwa mujibu wa dhamira ya uanzishwaji wake inaondoka.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa kuliko kuioneesha dunia aina ya democracy tuliyonayo ya ajabu hii, yani tujidanganya tunapractice multipartism kumbe tuko kwenye chama kimoja, ya nini tuuane, tufunguliane kesi za uongo, tupigane , tupotezane lakini pia tutumie billions of money katika democracy isiyokuwepo, si turudi kwenye rangi halisi ya chama kimoja mpaka pale tutakapokuwa na dhamira ya dhati ya multipartism ?
NB: Itachukuwa miaka mingi sana kupata IQ ya Mwl Nyerere, rip baba wa Taifa