Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Underdog ni yanga mkuuKwani hapa underdog ninani? Kesho tunaweza kushangaza ulimwengu mkija kichwa kichwa. Idumu daima Yanga.
Salamu yako haitafika maana alishazikwamsalimie huyo marehemu aliyepiga chafya
Kagere amesoma na job ndugaiSimba hamna ubavu Wa kuidharau yanga,mna vichezaji vya magazetini tu kama akina Mapung'o, Mzee Meko, Bob Mazishi ,Madenge, Comrade Kipepe n.k. Mna timu ya kawaida sana ambayo haijapata kipimo halisi. Kesho mtapimwa na mtapimika tu
ila haya mambo nayo ! mpaka leo tunaambiwa Okwi eti ana miaka 26 !