Ushauri: Simba iwekeze nguvu kwenye mapinduzi cup huku CAF tumeshindwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana JF

Kama expert wa soka naona ni Bora Kwa timu ya Simba kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi litakalofanyika January kuliko kuendelea kukupoteza muda kwenye champions, ambako hata Kwa kuroga haiwezekani kuvuka

Bora msimu huu tuchukue mapinduzi cup Ili kabati lisilale njaa, coz najua hata kombe la ligi hatutoboi mbele ya wananchi

NB heri haba Moja kuliko kupoteza haba zote.
 
Ngoja waje na majambia na mijeledi wakukute ukiwa bado uko hapo.
 
Yanga wahakkishe wanashika nafasi ya Tatu msimu huu ili waende Caf confederation wakatembeze kipigo huko wafike fainali wachukue medali za rangi ya Bati na kumalizia machungu ya Vipigo vya Cafcl.
 
Alafu mbona siioni Young africans hapa kweny Nominees za CAF wakat mlianzisha na nyuzi humu mkiita clabu bora. Hapa nimeiona Al ahly, mamelodi na Wydad.

Au ndo tuseme baad ya chujio pumba na mchele vikajitenga ?
 
Yaani caf ashindwe uto! aafu ushauri ampe jirani yake eti awekeze nguvu mapinduzi! umefanya nini mpaka sasa kwenye group lako kama sio kurukaruka tu? ama ndo visingizio vya sisi malengo yetu ni group stage basi? uto ni utonyongo tu.
 
Msimu huu tulikubaliana waambulie ngao ya jamii tu. Hivyo wasipoteze nguvu zao huko. Maana na kwenyewe wataambulia patupu. Kombe la Azam Fc hilo msimu huu.
 
Yanga wahakkishe wanashika nafasi ya Tatu msimu huu ili waende Caf confederation wakatembeze kipigo huko wafike fainali wachukue medali za rangi ya Bati na kumalizia machungu ya Vipigo vya Cafcl.
Yanga bado ana nafasi ya kwenda robo final
 
Alafu mbona siioni Young africans hapa kweny Nominees za CAF wakat mlianzisha na nyuzi humu mkiita clabu bora. Hapa nimeiona Al ahly, mamelodi na Wydad.

Au ndo tuseme baad ya chujio pumba na mchele vikajitenga ?
Hata kuingia 5 Bora ni hatua kubwa
 
Yaani caf ashindwe uto! aafu ushauri ampe jirani yake eti awekeze nguvu mapinduzi! umefanya nini mpaka sasa kwenye group lako kama sio kurukaruka tu? ama ndo visingizio vya sisi malengo yetu ni group stage basi? uto ni utonyongo tu.
Group la Yanga ...bado wanauwezo mkuu
 
Alafu mbona siioni Young africans hapa kweny Nominees za CAF wakat mlianzisha na nyuzi humu mkiita clabu bora. Hapa nimeiona Al ahly, mamelodi na Wydad.

Au ndo tuseme baad ya chujio pumba na mchele vikajitenga ?
Mzee katika historia ya ncho yetu toka tupate uhuru kuna timu ikedhaingia owenye tamo bora Afrika? Mi ni mwana lunyasi kwa hili la Yanga kuingia 5 bora tuwape maua yao na tusiwabeze.
Kwa kujifariji.
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…