Ushauri: Simba iwekeze nguvu kwenye mapinduzi cup huku CAF tumeshindwa

Ushauri: Simba iwekeze nguvu kwenye mapinduzi cup huku CAF tumeshindwa

Salaam Wana JF

Kama expert wa soka naona ni Bora Kwa timu ya Simba kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi litakalofanyika January kuliko kuendelea kukupoteza muda kwenye champions, ambako hata Kwa kuroga haiwezekani kuvuka

Bora msimu huu tuchukue mapinduzi cup Ili kabati lisilale njaa, coz najua hata kombe la ligi hatutoboi mbele ya wananchi

NB heri haba Moja kuliko kupoteza haba zote.
Simba bado tuna nafasi CCL lakini ni wazi ni kazi ngumu ya jasho na damu, lakini katika mpira lolote lawezekana.
NBC premier league Simba amefungwa mchezo mmoja tu vipi unamtoa kwenye mbio za ubingwa?
mapinduzi ni bonanza la kisiasa sio kikombe cha kujivunia.
 
Uzi ulibuma kwa zaidi ya masaa 24 naona wamekuja Uto wenzio kukuokoa na pumba zako...
 
Simba bado tuna nafasi CCL lakini ni wazi ni kazi ngumu ya jasho na damu, lakini katika mpira lolote lawezekana.
NBC premier league Simba amefungwa mchezo mmoja tu vipi unamtoa kwenye mbio za ubingwa?
mapinduzi ni bonanza la kisiasa sio kikombe cha kujivunia.
Yanga akishakuwa mbele.....kunkuta ni ngumu
 
Back
Top Bottom