Ushauri: Simba iwekeze nguvu kwenye mapinduzi cup huku CAF tumeshindwa

Simba bado tuna nafasi CCL lakini ni wazi ni kazi ngumu ya jasho na damu, lakini katika mpira lolote lawezekana.
NBC premier league Simba amefungwa mchezo mmoja tu vipi unamtoa kwenye mbio za ubingwa?
mapinduzi ni bonanza la kisiasa sio kikombe cha kujivunia.
 
Uzi ulibuma kwa zaidi ya masaa 24 naona wamekuja Uto wenzio kukuokoa na pumba zako...
 
Yanga akishakuwa mbele.....kunkuta ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…