USHAURI: Simba Queens iende kucheza na Club Africain badala ya Yanga

ToniXrated

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
1,134
Reaction score
2,993
Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis.

Asanteni kwa kushiriki hatua za awali za mashindano ya wakubwa. Jaribuni tena mwakani
 
imepitishwa
 
Ushauri ssfi kabisa huu
 
Simba Queens leo imecheza Club Bingwa Afrika.
Na imeshinda gol 2:0

Na haiwezi kucheza Club Bingwa 2 kwa wakati mmoja
 
Yanga wasubiri mchezaji anayefikiriwa kuja Simba ili wamuwahi.

Leo wachezaji wote wakubwa kwa majina wanajuta kusajiriwa na Yanga.

Ndio wanastuka kuwa kumbe wamesajiria kucheza Ndondo tu basi.

Lile pira ngamia la juzi lime waacha maskio wazi.

Wakisikia tu, Simba, wanageuka kuwa wavuvi wa dagaa Mafya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…