Ushauri: Single storey building yenye kuta ndefu kama za ghorofa

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,694
Reaction score
1,249
Habari zenu wapendwa?

Wakuu kuna jengo linahitajika kwa ajili yakuhifdhia vitu fulani hivi, hilo jengo linatakiwa liwe na kuta ndefu kama za ghorofa ila halitakuwa na vyumba vya juu na chini, litakua na floor moja tu ya chini.

Ninachohitaji kujua ni je, jengo kama hilo linatakiwa lijengwe kwa kufuata taratibu kama za kujenga ghorofa au linaweza kujengwa tu kama zinavyojengwa nyumba za Kawaida?

Natanguliza shukrani.
 
Bila shaka unaongelea godown.. Jengo kama hilo hujengwa na authorized contractor, chakufanya wasiliana na kampuni ya ujenzi wao watakuelekeza cha kufanya.Pia waweza kwenda kwny halmashauri ya mji uliopo Kwa msaada zaidi.
 
Okay.
asante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…