Habari zenu wapendwa?
Wakuu kuna jengo linahitajika kwa ajili yakuhifdhia vitu fulani hivi, hilo jengo linatakiwa liwe na kuta ndefu kama za ghorofa ila halitakuwa na vyumba vya juu na chini, litakua na floor moja tu ya chini.
Ninachohitaji kujua ni je, jengo kama hilo linatakiwa lijengwe kwa kufuata taratibu kama za kujenga ghorofa au linaweza kujengwa tu kama zinavyojengwa nyumba za Kawaida?
Natanguliza shukrani.