USHAURI: Somo la Kiingereza kwa shule za msingi lifutwe ama lianze kufundishwa tangu awali

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Kama serikali ina nia kwa wananchi wake kujua kiingereza, basi somo hili lianze kufundishwa tangu darasa la awali kama ilivyokuwa hapo kabla.

Na ikiwa si la muhimu sana basi ni afadhali lifutwe tu, wanafunzi wajifunze mambo mengine ya muhimu.

Atakayehitaji atajifunza kwa wakati wake hata baada ya kuhitimu!
 
Second language inaanza kufundishwa la 3 mtoto ana miaka 8/9 wakati kiswahili ambayo ni lingua franca inaanzia chekechea, sijui hii ni kanuni ya wapi. Tunasahau Early submergency, tunasahau lateralization huko mbele na tunasahau The early the better.

Hapo bado hujatizama uwezo wa yule anayekwenda kumfundisha hiyo lugha kuanzia la 3, yaani ni full vituko. Mbona nursery za binafsi na shule za private watoto wanaianza hii lugha since day 1 na ndo wanakuja kuwa fluent, hiii inashindikana wapi kwenye shule zetu zenye watoto wa kiswahili ama ndo roho za pwani hizi?
 
Hili swala ni la kustaajabisha sana hapa nchini msingi wa lugha ya pili hauzingatiwi kwa kiasi kikubwa.
 
Second language inaanza kufundishwa la 3 mtoto ana miaka 8/9 wakati kiswahili ambayo ni lingua franca inaanzia chekechea, sijui hii ni kanuni ya wapi. Tunasahau Early submergency, tunasahau lateralization huko mbele na tunasahau The early the better.

Hapo bado hujatizama uwezo wa yule anayekwenda kumfundisha hiyo lugha kuanzia la 3, yaani ni full vituko. Mbona nursery za binafsi na shule za private watoto wanaianza hii lugha since day 1 na ndo wanakuja kuwa fluent, hiii inashindikana wapi kwenye shule zetu zenye watoto wa kiswahili ama ndo roho za pwani hizi?
Kazi ipo!
 
Back
Top Bottom