Second language inaanza kufundishwa la 3 mtoto ana miaka 8/9 wakati kiswahili ambayo ni lingua franca inaanzia chekechea, sijui hii ni kanuni ya wapi. Tunasahau Early submergency, tunasahau lateralization huko mbele na tunasahau The early the better.
Hapo bado hujatizama uwezo wa yule anayekwenda kumfundisha hiyo lugha kuanzia la 3, yaani ni full vituko. Mbona nursery za binafsi na shule za private watoto wanaianza hii lugha since day 1 na ndo wanakuja kuwa fluent, hiii inashindikana wapi kwenye shule zetu zenye watoto wa kiswahili ama ndo roho za pwani hizi?