Lkn anakua amejishusha hadhi ,kutoka uspikaDada Betina ni Waziri wa Sheria ajaye.
Kulingana na nafasi nyeti ya kuwa Spika,Dada Betina ni Waziri wa Sheria ajaye.
Katiba inamlinda.Ana madudu yake lazima awe karibu karibu yasilipuliwe,sio msafi.
Si unajua Ile kazini unavimeo vyako hata likizo huombi😂
Ulafi wao ni mkubwa kuliko utu wao.Biteko na Tulia, hawakutakiwa kuwa back bencher.
Wajiuzuru haraka iwezekanavyo, kuepusha fedheha na aibu.
Hatariii sanaa.Ulafi wao ni mkubwa kuliko utu wao.
Yaani akitaka kuchangia ,aombe ruhusa kwa Zungu aliyekuwa msaidizi wake,Lkn anakua amejishusha hadhi ,kutoka uspika
We mpumbavu bado unaamini CCM wanailinda na kuitetea katiba.Katiba inamlinda.
Akae pembeni, asijidhalilishe.
Kwamba unaamini akikkaa bungeni ndo hawezi kudhalilika?We mpumbavu bado unaamini CCM wanailinda na kuitetea katiba.
Wakiamua kukuvua nguo ni mapema sana no matter katiba inasemaje.
Unajua kitu kinaitwa kulinda maslahi ?Kwamba unaamini akikkaa bungeni ndo hawezi kudhalilika?
Akirudi darasani,
Mchango wake utakuwa mkubwa zaidi kuliko kuwa mgonga meza.
Acha ubishi,Unajua kitu kinaitwa kulinda maslahi ?
Dada Betina ni Waziri wa Sheria ajaye.
Hawezi kuthubutu .Acha ubishi,
Atajiuzulu.