- Thread starter
- #21
Uzuri na wao wanatumia VPN!Na pia huu mtandao waufungue bwana tumechoka kuunganisha VPN š„²
Uzuri na wao wanatumia VPN!Na pia huu mtandao waufungue bwana tumechoka kuunganisha VPN š„²
Ajiuzulu asijiuzulu sawa tu! Hakukuwa na uchaguzi...labda aamue tu kukaa nyumbaniSalaam!
Nakusalimu Ndugu Spika Mstaafu T, kwa nafasi kubwa na nyeti uliyohudumu kwa miaka mitano ilopita, SI sawa kubaki back bench kama mbunge wa kawaida.
Nilikushauri kutogombea lakini hukupokea ushauri wangu Katika thread zilizopita, lakini pia hujachelewa.
Ombi: Jiuzulu ubunge Ili kurudi darasani kufundisha Sheria na kutoa ushauri wa kitaalamu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania [emoji1241]
Nawasilisha.
Alafu wanapost sijui wanategemea wakina nani wa view šš®Uzuri na wao wanatumia VPN!
Nasisi tuwe walafiKwa kweli, ulafi na uroho wa madaraka ni hatari sana
KabisaaaNasisi tuwe walafi
Ni sawa na kufunga mlango, ukapitia dirishani ktk nyumba yako mwenyewe.Alafu wanapost sijui wanategemea wakina nani wa view šš®
Hahaha mkuuu, eti VimeoAna madudu yake lazima awe karibu karibu yasilipuliwe,sio msafi.
Si unajua Ile kazini unavimeo vyako hata likizo huombiš
Ubongo wako umeshasau damu za mamia ya vijana wa kitanzania waliouwa na sasa unahangaika na huyo ngedere mwenzako kubaki back bencher? Kweli ngedere ni ngedere tu.Salaam!
Nakusalimu Ndugu Spika Mstaafu T, kwa nafasi kubwa na nyeti uliyohudumu kwa miaka mitano ilopita, SI sawa kubaki back bench kama mbunge wa kawaida.
Nilikushauri kutogombea lakini hukupokea ushauri wangu Katika thread zilizopita, lakini pia hujachelewa.
Ombi: Jiuzulu ubunge Ili kurudi darasani kufundisha Sheria na kutoa ushauri wa kitaalamu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania š¹šæ
Nawasilisha.
Futuhi hiiiNi sawa na kufunga mlango, ukapitia dirishani ktk nyumba yako mwenyewe.
SI kweli hiyo.Inasemekana Tulia alipanga kuja kuanzisha kampeni ya kutokuwa na imani huyu mzanzibari lakini huo mpango ukavujishwa Hadi ukafika Kwa chief mangungo na kuambiwa achague mawili yaani kuacha uspika au kupotezwa
Huyu hawezi kufanya hivyo na CCM yote hakuna mtu mwenye kujali na kutema ugali anaokula.Inasemekana Tulia alipanga kuja kuanzisha kampeni ya kutokuwa na imani huyu mzanzibari lakini huo mpango ukavujishwa Hadi ukafika Kwa chief mangungo na kuambiwa achague mawili yaani kuacha uspika au kupotezwa
Ni kweli,Ajiuzulu asijiuzulu sawa tu! Hakukuwa na uchaguzi...labda aamue tu kukaa nyumbani
Inasemekana Tulia alipanga kuja kuanzisha kampeni ya kutokuwa na imani huyu mzanzibari lakini huo mpango ukavujishwa Hadi ukafika Kwa chief mangungo na kuambiwa achague mawili yaani kuacha uspika au kupotezwa
Misafara ya Dotto ilikuwa inatusumbua sana huku mikoani,sasa sijui itakuwaje,Kagame kamuharibia sanaHili li ambatane na Biteko Dotto...
amenyanganywa ulinzi yupo kama yatima kwa sasa. Na Baraza lijalo huwenda asipewe Wizara yoyoteMisafara ya Dotto ilikuwa inatusumbua sana huku mikoani,sasa sijui itakuwaje,Kagame kamuharibia sana