Ushauri: Spika Mstaafu, nakuomba jiuzulu ubunge tafadhali

Ajiuzulu asijiuzulu sawa tu! Hakukuwa na uchaguzi...labda aamue tu kukaa nyumbani
 
Inasemekana Tulia alipanga kuja kuanzisha kampeni ya kutokuwa na imani huyu mzanzibari lakini huo mpango ukavujishwa Hadi ukafika Kwa chief mangungo na kuambiwa achague mawili yaani kuacha uspika au kupotezwa
 
Ubongo wako umeshasau damu za mamia ya vijana wa kitanzania waliouwa na sasa unahangaika na huyo ngedere mwenzako kubaki back bencher? Kweli ngedere ni ngedere tu.
 
Inasemekana Tulia alipanga kuja kuanzisha kampeni ya kutokuwa na imani huyu mzanzibari lakini huo mpango ukavujishwa Hadi ukafika Kwa chief mangungo na kuambiwa achague mawili yaani kuacha uspika au kupotezwa
SI kweli hiyo.

Alichokisema Pole Pole ndio kweli.

Kwamba wote wa awammu ya Tano, washuke tumwage oil

PM kaahuka, Vice kashuka, Spika kashuka,

Who's next🤔
 
Inasemekana Tulia alipanga kuja kuanzisha kampeni ya kutokuwa na imani huyu mzanzibari lakini huo mpango ukavujishwa Hadi ukafika Kwa chief mangungo na kuambiwa achague mawili yaani kuacha uspika au kupotezwa
Huyu hawezi kufanya hivyo na CCM yote hakuna mtu mwenye kujali na kutema ugali anaokula.
 
Inasemekana Tulia alipanga kuja kuanzisha kampeni ya kutokuwa na imani huyu mzanzibari lakini huo mpango ukavujishwa Hadi ukafika Kwa chief mangungo na kuambiwa achague mawili yaani kuacha uspika au kupotezwa

Basi Hana akili.

Afanye hilo kwa bunge gani sasa? Kila mbunge anajua Ubunge wake ni wa kupewa
 
Hivi mbona katemwa ilhali bunge lilikuwa chini ya mhimili ule?
 
Bora Samia kuliko huyu mdada asee, imetuharibia sana bunge .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…