Pirate of Carribean
Senior Member
- Sep 4, 2019
- 116
- 189
Hello boss naitwa cecylia Mimi ni agent natoa magari Bandarin na makontena pia.. karibu Kwa mawasiliano na ushauri Zaid 0764423726Habari Bandungu.!
Nafakiria kuvuta hii chuma hivi karibuni, ila kabla sijavuta naombeni experience kwa ambao tayari wamezitumia kuhusu realibility, stability handling na fuel consumption.
Natanguliza Shukrani wakuuView attachment 2893128View attachment 2893131View attachment 2893132
Kama ni gari yako ya kwanza na huna kipato cha uhakika nakushauri achana na hili gari.Habari Bandungu.!
Nafakiria kuvuta hii chuma hivi karibuni, ila kabla sijavuta naombeni experience kwa ambao tayari wamezitumia kuhusu realibility, stability handling na fuel consumption.
Natanguliza Shukrani wakuuView attachment 2893128View attachment 2893131View attachment 2893132
Kutishana tuuKama ni gari yako ya kwanza na huna kipato cha uhakika nakushauri achana na hili gari.
Sitishi mtu mkuu, tatizo letu kubwa Bongo ni mafundi. Hizo gari zina mafundi wachache sana wanaozifahamu vizuri sada kwa mtu ambaye ananunua gari kwa mara kwanza na hana experience na umiliki wa magari itamsumbua tu.Kutishana tuu
Ila kwny mafund hapo kweli kipengele… mafundi wetu wengi wagonga nyundo tuuSitishi mtu mkuu, tatizo letu kubwa Bongo ni mafundi. Hizo gari zina mafundi wachache sana wanaozifahamu vizuri sada kwa mtu ambaye ananunua gari kwa mara kwanza na hana experience na umiliki wa magari itamsumbua tu.
Huwez pata used iliotembea below thatm-yala Subaru, Range Rover, Landrover Discovery na BMW haya magari kama unanunua used hakikisha lisiwe limetembea zaidi ya Km 50,000 Kinyume na hapo utakuja kuliuza bei ya hasara mno. Kama hujanielewa vizuri DM ipo karibu kwa ushauri zaidi.
Taja jina la Kampuni na sio kuweka namba ya simu!Hello boss naitwa cecylia Mimi ni agent natoa magari Bandarin na makontena pia.. karibu Kwa mawasiliano na ushauri Zaid 0764423726
Magari ya Subaru ni mazuri sana.Habari Bandungu.!
Nafakiria kuvuta hii chuma hivi karibuni, ila kabla sijavuta naombeni experience kwa ambao tayari wamezitumia kuhusu realibility, stability handling na fuel consumption.
Natanguliza Shukrani wakuuView attachment 2893128View attachment 2893131View attachment 2893132
Yapo mengi tu,do your own research.Huwez pata used iliotembea below that