Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

Pirate of Carribean

Senior Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
116
Reaction score
189
Habari Bandungu.!

Nafakiria kuvuta hii chuma hivi karibuni, ila kabla sijavuta naombeni experience kwa ambao tayari wamezitumia kuhusu realibility, stability handling na fuel consumption.

Natanguliza Shukrani wakuu
2108353424.jpg
1217735980.jpg
1129090043.jpg
 
m-yala Subaru, Range Rover, Landrover Discovery na BMW haya magari kama unanunua used hakikisha lisiwe limetembea zaidi ya Km 50,000 Kinyume na hapo utakuja kuliuza bei ya hasara mno. Kama hujanielewa vizuri DM ipo karibu kwa ushauri zaidi.
 
Features:

Engine Gas: Flat 4, 2.0L

EPA Class: Compact Cars

Style Name: 2.0i 4-Door Automatic

Drive train: All Wheel Drive

Passenger: Capacity 5

Passenger: 4 Doors

Fuel Tank Capacity: Approx. (gal)14.5

Fuel System: Electronic Fuel Injection

Suspension Type - Front Mac Pherson Strut

Suspension Type - Rear Double Wishbone.

Gari iko vizuri
 
Sitishi mtu mkuu, tatizo letu kubwa Bongo ni mafundi. Hizo gari zina mafundi wachache sana wanaozifahamu vizuri sada kwa mtu ambaye ananunua gari kwa mara kwanza na hana experience na umiliki wa magari itamsumbua tu.
Ila kwny mafund hapo kweli kipengele… mafundi wetu wengi wagonga nyundo tuu
 
m-yala Subaru, Range Rover, Landrover Discovery na BMW haya magari kama unanunua used hakikisha lisiwe limetembea zaidi ya Km 50,000 Kinyume na hapo utakuja kuliuza bei ya hasara mno. Kama hujanielewa vizuri DM ipo karibu kwa ushauri zaidi.
Huwez pata used iliotembea below that
 
Back
Top Bottom