Ushauri subaru legacy 2.0 GT B4

Ushauri subaru legacy 2.0 GT B4

majibaridi

Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
6
Reaction score
2
Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz
 
Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz
69073e0e7e3da82f353312997655545d.jpg
Nenda garage ya Subaru pale kinondon biafra unaweza pata ufumbuzi mkuu
 
nlionaga inauzwa hii kule insta na madalali, kumbe we ndo uliinunua?? hukuikagua??pole sana
 
Back
Top Bottom