majibaridi
Member
- Dec 7, 2017
- 6
- 2
Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha
Nenda garage ya Subaru pale kinondon biafra unaweza pata ufumbuzi mkuuInatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz![]()
nlionaga inauzwa hii kule insta na madalali, kumbe we ndo uliinunua?? hukuikagua??pole sana