majibaridi
Member
- Dec 7, 2017
- 6
- 2
Weka picha
Nenda garage ya Subaru pale kinondon biafra unaweza pata ufumbuzi mkuuInatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz
nlionaga inauzwa hii kule insta na madalali, kumbe we ndo uliinunua?? hukuikagua??pole sana