Ushauri tafadhali juu ya uchumba huu

Ushauri tafadhali juu ya uchumba huu

habar za ndoa hatukupanga tulichokubaliana ni kuoana kwa staili hii ya kumove herself from their home.

kama hataki usimlazimishe move on na tafuta saizi yako ya staili hiyo unayo itaka wewe.mwache dada wa watu atampata ampendae na atamuoa.
 
mimi sina tatizo kwan nilimpeleka hata nyumbani kumtambulisha na ilifana kweli sa sielewi, anasumbua nini, hata hivo nmemwonya kuwa naoa mwingine anadai hata nikioa lazima nae aje tu.sa nashndwa kumwelewa ana maana gan.

unamiaka mingapi????
 
pole, kwa kufunga na kusali omba mungu.. ndie mwenye jibu la uhakika.
 
Mmmh vipi unaomba muanze kuishi kama mke na mume kwasababu tu umelipa mahari.....mahari haikupi hiyo rights. Mimi naona bado hajakuwa tayari...usinganganize.

Mpe time...

Bora Hata ingekua mahari.wanasema ni kishika uchumba....
 
Mie naona hamna love hapo between you two,wewe uko eager kuvuta ndani ule vitu,wkt mwenzio anaquestion km kweli unampenda ama unataka kumtumia tu as sex machine.......mfano ni hapo alipotingisha kiberiti eti arudishe posa na wewe ukamjibu ni juu yake arudishe ama la,simply humpendi huyo.msichana and she is confused.......wote chapeni lapa...

huyu msichana ndio haeleweki ,jamaa anajulikana mpaka nyumbani kwao ndio maana mamamkwe anamshauri binti arudi kwa mumewe.. ni upuuz kusema ati anampima jamaa kama anampenda au hampendi.. videm vingine bana nahisi kameshaanza kutembea na shemeji yake kwanini kang'ang'anie huko?
 
Pole sana, najua inaumiza kwa mtu unayempenda na ulishasetwa kiakili. But jikaze temana naye forever. Huu ndiyo ukweli kuna wanawake washenzi(em sorry), you take a time and resource kuinvest kwake but at the end of the day
you are nothing, Potezea Mazima. Mbwaimbwai....Liwalo na Liwe, Najua itakuumiza lakini hakuna namna nyingine ya kukusaidia keshakuacha.
 
Hivi kweli umeshindwa kusoma hata picha huioni,wewe jamaa endelea na shughuli zako kama kawaida, tuliza moyo, chukulia kama ni mchumba tuu...omba mzigo kama kawa kung'uta,achana na ndoano unazotaka atakuzingua huyo muache kiustaarabu.
 
sijamlazimisha kisa kishika uchumba coz mahusiano ni ya mda mrefu tu na yeye ndiye aliyependekeza kama nipo siriasi nitoe kishika uchumba.na kuhusu kumwoa tulipanga nae.

Kijana inaonekana umewekwa kiganjani na mbaya zaidi hujui taratibu za kumiliki mwanamke...

Mwanamke hawezi kukupangia kuwa fanya hivi au vile wakati bado si mkeo...

Na pia kishika uchumba kwa tafsiri nyingine huitwa posa, kwa mila za kiafrika posa inaweza kupigwa chini muda wowote...

Ingelikuwa ni mahari basi ungelikuwa sawa kulalamika, maana mahari ndio kifungo cha ndoa...
 
Hicho kishika uchumba gani unachoruhusiwa kukaa nae?Au kinatofautiana na makabila?Sie wasukuma kishika uchumba kwanza hakirudishi na hicho ni kama kiutambulisho tu na unaweza kukuta binti mmoja anavyo hata vitano wengine wanapigwa kimya kimya yani usipojibiwa ujue umeula wa chuya na ukijibiwa kuwa umekubaliwa ndio unapeleka mahari hivi hivi ujue hapo unachezwa shere
 
Mfano mwingine mzuri huu...

Haka kajamaa sijui ka wapi hakafahamu taratibu kanabaki kulia lia hapa...

Sie wasukuma kishika uchumba kwanza hakirudishi na hicho ni kama kiutambulisho tu na unaweza kukuta binti mmoja anavyo hata vitano wengine wanapigwa kimya kimya yani usipojibiwa ujue umeula wa chuya na ukijibiwa kuwa umekubaliwa ndio unapeleka mahari hivi hivi ujue hapo unachezwa shere
 
Mfano mwingine mzuri huu...

Haka kajamaa sijui ka wapi hakafahamu taratibu kanabaki kulia lia hapa...

Hebu muelezeni huyo mwanaume mwenzenu.Kama alipeleka kilaki chake walishavinywea castle lite wamesahau yeye bado analilia lia hapa
 
Huna chako hapo, piga moyo konde mtafute mwingine . Hao ndio wanawake hapana shaka hapo umeachwa.
 
Au Humtoshelezii kwenye idara nyeti na ndio muhimu? Anaweza kua anapata kula lakini mengine hapati.isijekua mambo Ya ku busti shida moja Kwa zote ...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1425495467.478881.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1425495467.478881.jpg
    21.2 KB · Views: 107
  • ImageUploadedByJamiiForums1425495623.959815.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1425495623.959815.jpg
    25.5 KB · Views: 108
Hivi umeona wapi mchumba anahamia kwako????

Mke ndio anahamia kwako
 
Nipo gud kwa bed hadi mwenyewe najikubali mana siyo mgeni kwenye idara hii.
 
Back
Top Bottom