habar za ndoa hatukupanga tulichokubaliana ni kuoana kwa staili hii ya kumove herself from their home.
mimi sina tatizo kwan nilimpeleka hata nyumbani kumtambulisha na ilifana kweli sa sielewi, anasumbua nini, hata hivo nmemwonya kuwa naoa mwingine anadai hata nikioa lazima nae aje tu.sa nashndwa kumwelewa ana maana gan.
Mmmh vipi unaomba muanze kuishi kama mke na mume kwasababu tu umelipa mahari.....mahari haikupi hiyo rights. Mimi naona bado hajakuwa tayari...usinganganize.
Mpe time...
Mie naona hamna love hapo between you two,wewe uko eager kuvuta ndani ule vitu,wkt mwenzio anaquestion km kweli unampenda ama unataka kumtumia tu as sex machine.......mfano ni hapo alipotingisha kiberiti eti arudishe posa na wewe ukamjibu ni juu yake arudishe ama la,simply humpendi huyo.msichana and she is confused.......wote chapeni lapa...
sijamlazimisha kisa kishika uchumba coz mahusiano ni ya mda mrefu tu na yeye ndiye aliyependekeza kama nipo siriasi nitoe kishika uchumba.na kuhusu kumwoa tulipanga nae.
Sie wasukuma kishika uchumba kwanza hakirudishi na hicho ni kama kiutambulisho tu na unaweza kukuta binti mmoja anavyo hata vitano wengine wanapigwa kimya kimya yani usipojibiwa ujue umeula wa chuya na ukijibiwa kuwa umekubaliwa ndio unapeleka mahari hivi hivi ujue hapo unachezwa shere
Mfano mwingine mzuri huu...
Haka kajamaa sijui ka wapi hakafahamu taratibu kanabaki kulia lia hapa...
npo gud kwa bed hadi mwenyewe najikubali mana siyo mgeni kwenye idara hii.