Ushauri tafadhali kaka na dada zangu

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
410
Mimi ni kijana wa kiume
Ndoto zangu ni kufanya kilimo maana ndo kazi naipenda sana toka utotoni
Ombi langu kwenu ni kunishauri
Nianzie wapi na niendelee vipi
Mfano
Mawazo yangu ni kutafuta shamba la gharama nafuu (shamba pori )
Nilifufue mwenyewe na nianze kilimo.
Ila ingekuwa vizuri kama patakuwa na maji. Ya kutosha
Hivyo basi kama kuna mtu ana aidia/ au mwenye shamba la aina hiyo naomba tuwasiliane (ukubwa wa shamba utategemeana na bei,)
Swala la pili
Najua wapo wenye uzoefu wa maswala ya shamba hivyo nawaomba unisaidie kunishauri


Mawazo yenu ni muhimu sana

Natanguliza shukran zangu kwenu nyote
 
Kweli we Differ from one to another, since day one natamani niwe na operate makompyuta makuubwa (Workstation Computer and the likes ) One day niwe comp Scientist kumbe kuna wengine wanapenda kulima! Pole ila sikubezi kila kazi ni muhimu, Don't give up playsmart, Work hard one you will make it Bro..
 
Nenda Mbwewe(Pwani ) ekari moja ya pori ni 100k
 
Unafikili utayafikia vipi hayo makompyuta makubwa bila kupitia njianjia.....mimi ndoto yangu kumiliki bonge la Carwasha la mtaji wa 30M kama 5 mjini ila lazima nipitie kwenye bishara za kuungaunga mitumba, tigopesa, kilimo nk mpaka kufika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…