kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Mimi ni kijana wa kiume
Ndoto zangu ni kufanya kilimo maana ndo kazi naipenda sana toka utotoni
Ombi langu kwenu ni kunishauri
Nianzie wapi na niendelee vipi
Mfano
Mawazo yangu ni kutafuta shamba la gharama nafuu (shamba pori )
Nilifufue mwenyewe na nianze kilimo.
Ila ingekuwa vizuri kama patakuwa na maji. Ya kutosha
Hivyo basi kama kuna mtu ana aidia/ au mwenye shamba la aina hiyo naomba tuwasiliane (ukubwa wa shamba utategemeana na bei,)
Swala la pili
Najua wapo wenye uzoefu wa maswala ya shamba hivyo nawaomba unisaidie kunishauri
Mawazo yenu ni muhimu sana
Natanguliza shukran zangu kwenu nyote