James Hungury JF-Expert Member Joined Jun 8, 2013 Posts 825 Reaction score 612 Sep 23, 2015 #2 watu sijui wakoje,wanashndwa kujadir mambo kama haya wamekaria kwenye thread za siasa,
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Sep 23, 2015 #3 Nenda kwaone kampuni ya home shopping centre,wana shipping company yao ambayo inaitwa silent ocean.Wao wana safirisha lose cargo toka guangzhou china.ofisi zao zipo lumumba next to jengo la ccm.
Nenda kwaone kampuni ya home shopping centre,wana shipping company yao ambayo inaitwa silent ocean.Wao wana safirisha lose cargo toka guangzhou china.ofisi zao zipo lumumba next to jengo la ccm.