Ushauri tafadhali kuagiza bidhaa chache kutoka China

Ushauri tafadhali kuagiza bidhaa chache kutoka China

watu sijui wakoje,wanashndwa kujadir mambo kama haya wamekaria kwenye thread za siasa,
 
Nenda kwaone kampuni ya home shopping centre,wana shipping company yao ambayo inaitwa silent ocean.Wao wana safirisha lose cargo toka guangzhou china.ofisi zao zipo lumumba next to jengo la ccm.
 
Back
Top Bottom