Ushauri tafadhali kuhusu mkopo

Ushauri tafadhali kuhusu mkopo

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Wakuu mim ni mwajiriwa wa serkali ambaye nina mwaka mmoja kazini, baada ya kutafakari kwa muda mrefu nimeamua kuchukua mkopo ili niwekeze.
Nilokuwa nataka kujua benki nzuri ya kuchukua mkopo kwa riba ndogo na pia yenye kutoa fedha nyingi ili nisinyonyeke sana!
 
NMB bank itakufaa ndugu mimi ni mdau mzuri sana huko..
 
Benki ya CRDB ni Benki inayoongoza hapa nchini kwa ubunifu wa huduma na bidhaa bora sokoni. Pia benki ya CRDB inatambulika kama kinara wa uanzishaji wa huduma na bidhaa mpya sokoni ambazo hukidhi matakwa ya mteja.

Katika kudhihirisha hilo, sambamba na kuzingatia uhitaji mkubwa wa makazi bora hapa nchini, Benki ya CRDB sasa imeleta bidhaa mpya sokoni ijulikanayo kwa jila la Jijenge. Jijenge ni mkopo wa nyumba ambao unakuwezesha wewe mteja wa Benki kumiliki nyumba ya ndoto yako kwa kununua, kujenga au kuboresha nyumba ya zamani. Mkopo huu ni sawa na kuwa kwenye nyumba ya kupanga huku ukiinuunua taratibu kila ufanyapo marejesho ya kila mwezi. Huu ni mkopo wa muda mrefu wenye kipindi cha marejesho cha hadi miaka 20 ambao dhamana yake ni nyumba hiyo hiyo ijegwayo , nunuliwa au kukarabatiwa.

Kupitia mkopo wa Jijenge, wewe mteja wetu unaweza kupata hadi shilingi milioni 500 na kurejesha kidogo kidogo kila mwezi au kwa agizo maalumu kwa Benki (standing order) au kwa mkupuo na tena kwa riba nafuu ambayo ni chini ya riba ya soko. Kwa kuwa mkopo huo ni wa kutosheleza, unakupa fursa wewe mteja kuweza kumiliki nyumba ya ndoto yako katika kipindi kfupii pasipo kusubiri kuweka akiba yako kwa muda mrefu.

Mkopo huu hutolewa kwa watanzania walioajiriwa na waliojiajiri ndani na nje ya nchi (kwa walio nje ya nchi wanapaswa kuwa na akaunti ya Tanzanite kutoka Benki ya CRDB ) na wenye umri kati ya miaka 21 hadi 60. Sambamba na hilo mkopo huu una bima ya mkopo (credit insurance) kwa mteja kama atapatwa na kifo au ulemavu wa kudumu ambao utamfanya ashindwe kuendelea na shughuli za kumpatia kipato na pia nyumba ijengwayo, inunuliwayo au kukarabatiwa huwekewa bima (property insurance) endapo itakumbwa na majanga kama vile moto na mengineyo.

Kwa maelekezo zaidi kuhusu Jijenge, au huduma/bidhdha yoyote ya Benki au ushauri tafadhari wasiliana nasi kupitia:

Simu:+255(22)2 19 77 00, 0714 19 77 00, 0755 19 77 00, 0789 197700,

Barua pepe: customer-hotline@crdbbank.com, Facebook: http://www.facebook.com/crdbbank pia angalia tovuti yetu kupitia CRDB Bank PLC

Wako, Benki ya CRDB
 
Wewe taasisi zote za serikali kuna saccos za mikopo, ambazo riba zake ni ndogo tu asilimia 12 to 14. Benki riba zake kubwa sana!
 
CRDB nilienda nikawaulizia wakanijibu kuwa bado hawajasaini mkataba na mwajiri wangu kwa ajiri ya kuwakopesha wafanyakazi hivyo nisubiri mpaka watakaposaini.
 
Okay!bank zenye mkono wa serikali Mara nyingi ziko cheap,watizame NMB pengine watafaa,
Na nikitaka mkopo wa kibiashara ambao hauhusiani na mwajiri, labda dhamana naweka hati ya kiwanja au kadi ya gari, wapi nawezapata mkopo wa aina hii ambao ni quick and cheap!!
 
quick and cheap,kama una lesseni za biashara na hiyo biashara husika umeifanya atleast zaidi ya miezi 6,nenda NMB itakuwa cheap lakini sio quick,au nenda advans bank itakuwa quick within 3 to 4 days ukiwa na vielelezo vyote though interest ni tight so some extent lakini bearable,all the best!
 
Advance liba 5% per month hawafai hao pesa kidogo tu wanatoa sio rahisi kupata 10m hapo sana sana mil 2-mpaka 5 wamejitahidi
 
Advance liba 5% per month hawafai hao pesa kidogo tu wanatoa sio rahisio kupata 10m hapo sana sana mil 2-mpaka 5 wamejitahidi
 
Back
Top Bottom