Ushauri tafadhali(nataka kuoa)

Ushauri tafadhali(nataka kuoa)

wee si tumekushauri jana tu?
Yaliingilia huku yakatokea huku?

Dah, maamuzi yako mikononi mwako, wewe ndo unafahamu unamuhitaji kwa kiwango gani.

Sosho laifu haina fomula, wowa tu.
 
kumbe mlishampa ushauri? Acha nisepe

wee si tumekushauri jana tu?
Yaliingilia huku yakatokea huku?

Dah, maamuzi yako mikononi mwako, wewe ndo unafahamu unamuhitaji kwa kiwango gani.

Sosho laifu haina fomula, wowa tu.
 
Back
Top Bottom