Ushauri tafadhali....Siku za kujifungua zimepitiliza sana!

Ushauri tafadhali....Siku za kujifungua zimepitiliza sana!

Duh! Pole sana

asante mwaya..nimekata tamaa kabisa,duh huyo nduguyo anamoyo mm cwezi fanya chochote zaidi ya kushinda nikigoogle mpaka naona kichaa kinaweza nipata.kweli mtoto muone kwa mwenzio!!
 
Au labda alokosea kuhesabu?ina maana hata ule uchungu fake huwa hausikii?pole zake mimi my firstborn nilikwenda mpaka 42 nikafanyiwa C section,wa pili nikajifungua at 38,ssa my no 3 nipo wk ya 36 natamani niende mpaka 40. ila miezi 11 ni mingi bwana labda kama alikosea mahesabu
Yaani ana maumivu tu yale ya kawaida kwa wajawazito hasa pale mtoto anapocheza na ile akikaa sana hulalamika mguu wa kulia umekufa ganzi lakini uchungu hata siku moja ile kwenda hospitali tulifosi baada ya kuona siku zimepitiliza sana mara hata ya mwisho alipopga ultra sound ilionyesha siku zimetimia kabisa,miezi 11 imetimia,sasa anaanza safari ya miezi 12. Pole na ww Mungu akusaidie ujifungue salama usisahau kula tende kama Dk Mzizimkavu alivyoshauri.
 
Binafsi nalitambua hilo na ninamuombea kila siku, sista alikuja olewa na muislam lakini huwa tunafanya maombi.

nilienda tafuta google kule nikapata experience ya wanawake wengi waliojifungua miezi 11 na wapo wataalamu wanaoona ni vizuri kumwacha mtoto hadi atoke mwenyewe ikiwa mama na mtoto hana tatizo labda wataalamu wa humu watuelezee vizuri
 
asante mwaya..nimekata tamaa kabisa,duh huyo nduguyo anamoyo mm cwezi fanya chochote zaidi ya kushinda nikigoogle mpaka naona kichaa kinaweza nipata.kweli mtoto muone kwa mwenzio!!
Jamani pole sana,usijalli na hilo nalo litapita,kweli kuitwa mama si mchezo.
 
Bibie hujambo lakini The secretary inaonyesha bado hajashusha engine mkuu.@everlenk Mwambie ndugu yako ale tende inshallah atajifunguwa haraka iwezekanavyo ale tende kila siku. Utafiti umeonyesha kuwa tende husaidia kutanua misuli ya mji wa mimba wakati mwanamke anapokaribia kujifungua, hii husaidia kumfanya mwanamke asipoteze damu nyingi wakati wa kujifungua.

chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/282416-faida-za-tende-mwilini-mwako.html#post4109642

sijambo MziziMkavu unazidi kunipa raha tu tende huwa nakula ila mara mojamoja nikikutana nazo njiani naona ndo msimu wake zipo nyingi kitaa
 
Last edited by a moderator:
nilienda tafuta google kule nikapata experience ya wanawake wengi waliojifungua miezi 11 na wapo wataalamu wanaoona ni vizuri kumwacha mtoto hadi atoke mwenyewe ikiwa mama na mtoto hana tatizo labda wataalamu wa humu watuelezee vizuri
Mwenzangu waje kabisa watufafanulie hili maana tuko dilema.
 
Back
Top Bottom