Ushauri tafadhali: Tipper imefanya kazi wiki mbili na kusimama

Ushauri tafadhali: Tipper imefanya kazi wiki mbili na kusimama

koryo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
639
Reaction score
278
Ndugu zangu wana JF nawaombeni ushauri wenu wa dhati kabisa. Nimenunua Fuso Tipper kutoka Japan na gari limefanya kazi wiki mbili tu na kusimama. Aina ya gari hili lina engine tofauti na magari ya zamani yaani 16 na 17D. Gari ni ya mwaka 2005 na natumaini engine yake 450m. Nimejaribu kulitengeneza bila mafanikio. Nakosa usingizi kwa ajili ya tatizo la gari hili japo sikukopa mahali. Nisaidieni ushauri.
 
Back
Top Bottom