Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Hili darasa nimelipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka gari huku unataka isiyokula mafuta mhnTafadhali naombeni ushauri kwa wote wanaomiliki au waliowahi kumiliki moja kati ya gari hizi: Toyota Vitz, Toyota Duet, Toyota Allex, Toyota RunX na Suzuki Swift.
Nataka kununua gari yenye injini ndogo ( 1- 1.3 litres) na ningependa kupata uzoefu juu ya uimara wa magari haya, upatikanaji wa vipuri (spare parts) na maelezo mengine kiujumla.
Natanguliza shukrani zangu.
hahahaah! Nanyi kwa kujitoa fahamu.Unataka gari huku unataka isiyokula mafuta mhn
Mkuu nimepata bonge la shule nilikuwa na mpango wa kununua swift below 2005 itabidi nijipange vp kuhusu toyota alteza? Au toyota progress vipuli vinapatikana kwa bei nzuri?
Kuna mdau ameni PM kuhusu ni gari gani achague kati ya Subaru Forester na Nadia. So I thought I would share it with all of you and get more input from the entire community.
Subaru Forester ni gari ngumu, kama ilivyo RAV 4 (Engine 3S-FE model 1994 - 2000, 1997 - 2003 RAV4 EV). Spare zake kwa wastani zipo juu, zaidi hata ya RAV4.
Kwa kifupi, Subaru Forester ina compete na RAV4, na zote zimetolewa almost at the same time.
Subaru Forester ina engine kubwa, 2500cc (RAV4 2000cc), hivyo lazima ujiandae kuweka mafuta ya kutosha, ukizingatia na foleni zetu za bongo.
Engine kubwa ni nzuri kwa safari, au kama una mizunguko ambayo hakuna foleni. Kama kula foleni, injini kubwa itakula mafuta mengi zaidi ya engine ndogo. Unapochagua ukubwa wa engine, zingatia matumizi na uwezo wako kiuchumi.
Kwa kifupi, kwa mtu wa kipato cha chini anaeanza maisha, Subaru Forester si gari ya kununua period.
Toyota Nadia.
Nadia inatumia engine ya D4, na hii ni pamoja na RAV4 (Engine 1AZ 2000 - 2005) na gari nyinginezo.
Kwa kifupi, D4 engine ni technologia mpya, mafundi bongo hakuna.
In short, KAA MBALI na D4 engine.
Soma hizi links:
Toyota Nadia with a D4 engine - AA New Zealand
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogomadogo/49023-mtaalam-wa-engine-za-d4.html
Bottom line:
Kama unaanza maisha, kati ya Subaru Forester na Nadia hakuna la kununua hapo.
Kama una budget ya kutosha na uchumi mzuri, Forester in not a money wester.
You are welcome,
Ramthods
Mimi natumia escudo, v6, 2.7Litre..kwa safari ndefu ni gari nzuri sanaaaa, ina balance barabarani na fully tank (50L) napiga kilometa 440-480 hapo, na kama kawa sifungui kioo ni fully AC. Ila kwenye foleni nahisi itakua inakula 6km/litre. Kwa mtu anaeanza maisha simshauri anunue such a big machine, kwanza ukigusa tu accerelator inachanganya fasta na speed yake max ni 220..atafute hizo ndogo ndogo pia na bei yake imechangamka kwa hizo model za SUV.Zote hizi ni imara kaka. Nunua moja kazi ya hizo itakufaa.
Ila kwa Escudo kuna version tofauti za engine. Kuna ya 1,500cc hadi 2,400. So angalia hapo wewe ipi inakufaa.
Hizo zenye engine kubwa ni V6, so kama unakuwa kwenye foleni muda mrefu mafuta yatatumika sana. Ingawa kwa safari ndefu (kama mkoani) ndo nzuri.
Binafsi napenda RAV4 kwa sababu ya muonekano wake. Ila nimeshawahi kuwa na zote, na zote nimezifurahia kwa kweli
Au achukue Toyota IST, hatajuta!!off all the list, hakuna gari apo. chukua toyota corrola,sprinter au Corsa. (cc 1300)
vista sio gari bro hata bure usichukue
vista sio gari bro hata bure usichukueWakuu kati ya Toyota Vista na Raum ni ipi haina usumbufu sana kwa mmiliki wa kawaida let say kwa anayeanza kumiliki kwa mara ya kwanza
Chukua RaumWakuu kati ya Toyota Vista na Raum ni ipi haina usumbufu sana kwa mmiliki wa kawaida let say kwa anayeanza kumiliki kwa mara ya kwanza