Ushauri tafadhali - Toyota Vitz, Duet, Allex, RunX, Suzuki SWIFT,

Unataka gari huku unataka isiyokula mafuta mhn
 

Attachments

  • 1385061733132.jpg
    65.5 KB · Views: 525
wote mmetoa ushauri mzuri. Vipi kuna wataalamu wa IST? zikoje services zake na ulaji wa mafuta? je uimara?
 
Mkuu nimepata bonge la shule nilikuwa na mpango wa kununua swift below 2005 itabidi nijipange vp kuhusu toyota alteza? Au toyota progress vipuli vinapatikana kwa bei nzuri?

hata mm nimejifunza vzur sana shukrani kwa mleta uzi na waliochangia
 

...mkuu, kwenye forester ungempa na model kabisa maana Kuna forester 5tb ina cc 1998
 
Habari waungwana naombeni ufafanuzi katika starlet naomba kujua zipo model aiña ngapi na ipi the best....
Pia kwa msaada bei ya yadi. Na ile ya kununua mikononi mwa mtu..
Natanguliza shukrani.
 
Mimi natumia escudo, v6, 2.7Litre..kwa safari ndefu ni gari nzuri sanaaaa, ina balance barabarani na fully tank (50L) napiga kilometa 440-480 hapo, na kama kawa sifungui kioo ni fully AC. Ila kwenye foleni nahisi itakua inakula 6km/litre. Kwa mtu anaeanza maisha simshauri anunue such a big machine, kwanza ukigusa tu accerelator inachanganya fasta na speed yake max ni 220..atafute hizo ndogo ndogo pia na bei yake imechangamka kwa hizo model za SUV.
 
Wakuu kati ya Toyota Vista na Raum ni ipi haina usumbufu sana kwa mmiliki wa kawaida let say kwa anayeanza kumiliki kwa mara ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…