mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Sitaki salamu na mtu!
Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.
Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500
Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa kufungua kesi.
Inakuwaje line yangu ya biashara aweze kukopea mtu mwingine?
Mimi huduma niliyosajiliwa kwenu ni pamoja na hiyo ya kuomba mikopo?
Hamjui kuwa kwenye viduka vyetu tunafanya kazi na watu wa mshahara?
Uthubutu wa kukopesha ovyo mmeupata wapi?