Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua weweUna uhakika na honga?
Yeyote anaetoa pesa kwa simu ni wewe hatakama anaetoa mkeo au rafiki Yako muhimu number ya Siri, so inahesabika umetoa number ya Siri na ulifanya hivyo yeyote anaweza toa au kukopa pesa sababu ni number Siri imekuwa number ya public.Namjua ila ndio keshaniibia.
Hili lipo kwa wenye mamlaka hayo (polisi)
Lawama zangu kwa voda ni iweje line niliyosajili kwa NIDA yangu, LESENI YA BIASHARA yangu TIN number yangu.
Alafu mfanyakazi wangu aweze kukopea bila mimi kuwa na taarifa?
Unatoaje milioni hizo bila uthibitisho kuwa mimi mteja wako ndiye ninayekopa?
Kichwa chako ni kigumu kuelewa.Yeyote anaetoa pesa kwa simu ni wewe hatakama anaetoa mkeo au rafiki Yako muhimu number ya Siri, so inahesabika umetoa number ya Siri na ulifanya hivyo yeyote anaweza toa au kukopa pesa sababu ni number Siri imekuwa number ya public.
Unadhani number ya Siri iliwekwa kuwa na umuhimu Gani zaidi ya kurahisisha utoaji wa pesa iwe bank au mitandao ya simu hatakama utaitwa kuulizwa taarifa zako muhimu bado itatia shaka zababu taarifa hizo ziko wazi hivyo number ya Siri ndo kipengere cha mwisho.
Haya makubaliano yenu na huyo jamaa voda anayajua ?? Vipi yeye kwenye mikataba wake Kuna kipengele kinaruhisu Hilo ?Kichwa chako ni kigumu kuelewa.
Line inayo zungumziwa hapa ni line ya simu pesa. ( Wakala)
Sio line ya mawasiliano.
Kwenye line zetu za uwakala ni kawaida namba ya siri kumpa anayesimamia ofisi kwa muda huo. Usipompa namba ya siri maana ni kuwa hataweza kufanya huduma za miamala.