Ili ushauriwe vizuri nafikiri ni vyema Sana ukaweka mkataba wa uhusiano wenu wa kutoa huduma kati yako wewe na hao VodaCom. Hii itasaidia Sana kupata ushauri sahihi unaohitaji.Sitaki salamu na mtu!
Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.
Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500
Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa kufungua kesi.
Inakuwaje line yangu ya biashara aweze kukopea mtu mwingine?
Mimi huduma niliyosajiliwa kwenu ni pamoja na hiyo ya kuomba mikopo?
Hamjui kuwa kwenye viduka vyetu tunafanya kazi na watu wa mshahara?
Uthubutu wa kukopesha hovyo mmeupata wapi?
DàahIli ushauriwe vizuri nafikiri ni vyema Sana ukaweka mkataba wa uhusiano wenu wa kutoa huduma kati yako wewe na hao VodaCom. Hii itasaidia Sana kupata ushauri sahihi unahita
Kwa Kesi yako hii, kabla ya kutoa ushauri wowote ule ni LAZIMA kwanza Mtoa Ushauri anapaswa kujua Wajibu na Haki za kila upande wa Mkataba wenu mliosainiana.Dàah
Lipo wazi sana hili, labda km ni mgeni wa huduma za kipesa kwa mitandao ya simu.
Namjua ila ndio keshaniibia.Inamana umeajiri mtu ambae hujui details zake vizur, kama unajua kwanin usimtafute mpambane one against one
Apo kwel komaa nao ila inaonekana kukopa ni simple yan namba yanida na namba yasiri ambavyo hivyo dogo anavijuaNamjua ila ndio keshaniibia.
Hili lipo kwa wenye mamlaka hayo (polisi)
Lawama zangu kwa voda ni iweje line niliyosajili kwa NIDA yangu, LESENI YA BIASHARA yangu TIN number yangu.
Alafu mfanyakazi wangu aweze kukopea bila mimi kuwa na taarifa?
Unatoaje milioni hizo bila uthibitisho kuwa mimi mteja wako ndiye ninayekopa?
Narudia tena kusisitiza kwambaNamjua ila ndio keshaniibia.
Hili lipo kwa wenye mamlaka hayo (polisi)
Lawama zangu kwa voda ni iweje line niliyosajili kwa NIDA yangu, LESENI YA BIASHARA yangu TIN number yangu.
Alafu mfanyakazi wangu aweze kukopea bila mimi kuwa na taarifa?
Unatoaje milioni hizo bila uthibitisho kuwa mimi mteja wako ndiye ninayekopa?