Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
huwezi pata kazi asilani. nenda kasome ufundi, unesi, maabara au kozi za kilimo na mifugo.
mambo vipi wanajamvi naanza kwa kusema nimemaliza kidato cha nne (form four) mwaka 2010 so baada ya kujichanga changa hela kidogo nataka kujiendeleza chuo cha maendeleo ya jamii yaani community development vipi yeyote aliyesoma hapo na ishu za kazi zikoje ushauri tafadhali.......!!!!!
mdogo wangu, kwanza hongera kwa kuwa na nia ya kutaka kujiendeleza kielimu. Sasa, wewe binafsi ulikuwa unahitaji kusoma KOZI GANI? maana umetaja chuo unachotaka kwenda kusoma ila kozi hujasema....ebu funguka zaidi...