ushauri tafadhali wana jamii forum wenzangu!!

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
mambo vipi wanajamvi naanza kwa kusema nimemaliza kidato cha nne (form four) mwaka 2010 so baada ya kujichanga changa hela kidogo nataka kujiendeleza chuo cha maendeleo ya jamii yaani community development vipi yeyote aliyesoma hapo na ishu za kazi zikoje ushauri tafadhali.......!!!!!
 
huwezi pata kazi asilani. nenda kasome ufundi, unesi, maabara au kozi za kilimo na mifugo.
 
mdogo wangu, kwanza hongera kwa kuwa na nia ya kutaka kujiendeleza kielimu. Sasa, wewe binafsi ulikuwa unahitaji kusoma KOZI GANI? maana umetaja chuo unachotaka kwenda kusoma ila kozi hujasema....ebu funguka zaidi...
mambo vipi wanajamvi naanza kwa kusema nimemaliza kidato cha nne (form four) mwaka 2010 so baada ya kujichanga changa hela kidogo nataka kujiendeleza chuo cha maendeleo ya jamii yaani community development vipi yeyote aliyesoma hapo na ishu za kazi zikoje ushauri tafadhali.......!!!!!
 
mdogo wangu, kwanza hongera kwa kuwa na nia ya kutaka kujiendeleza kielimu. Sasa, wewe binafsi ulikuwa unahitaji kusoma KOZI GANI? maana umetaja chuo unachotaka kwenda kusoma ila kozi hujasema....ebu funguka zaidi...

community development ni chuo ambacho kipo chini ya wizara ya jinsia na watoto na utaratibu wa masomo unasoma mambo yahusuyo maendeleo ya jamii kwa ujumla kutoka ngazi ya cheti (certificate) mpaka stashahada (diploma) na baada ya kumaliza diploma unachagua kusoma nini degree coz maendeleo ya jamii inaingia katika fulcult nyingi......!!!!
 
Back
Top Bottom