Kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa,niende kwenye mada naomba kujuzwa kati ya kuendesha boda boda yako au bajaji ya kwako pia ni ipi hap inalipa zaidi mana nataka nichukie kimoja kati ya hvyo viwili niendeshe mwenyewe,ushauri tafadhali.