Ushauri Tafadhali.

Ushauri Tafadhali.

Manwambele

Senior Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
110
Reaction score
172
Kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa,niende kwenye mada naomba kujuzwa kati ya kuendesha boda boda yako au bajaji ya kwako pia ni ipi hap inalipa zaidi mana nataka nichukie kimoja kati ya hvyo viwili niendeshe mwenyewe,ushauri tafadhali.
 
Jilipue kwenye bajaj, nadhani faida yake ni kubwa kuliko bodaboda, na ni Isadora salama kiasi.
 
Back
Top Bottom