USHAURI TAFADHALI

USHAURI TAFADHALI

buchilo

Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
82
Reaction score
69
Wasalam mabwana namabibi.
Nimekuwa nikitumia kahawa ile yakawaida iliyosagwa kama unga. Sasa juzi nimeenda dukani nikaona hii ychenga. Nikajisemea ngoja nikaijaribu hihi. Binafs nimeipnda. Sasa cjui kama ina madhala au. Hihi hapa
76190232576f4.jpg
 
Wasalam mabwana namabibi.
Nimekuwa nikitumia kahawa ile yakawaida iliyosagwa kama unga. Sasa juzi nimeenda dukani nikaona hii ychenga. Nikajisemea ngoja nikaijaribu hihi. Binafs nimeipnda. Sasa cjui kama ina madhala au. Hihi hapaView attachment 826675

Dah hapa ushauri ni mpaka useme matatizo iliyopata baada ya kuitumia hiyo ya Chenga.
 
Mkuu sijaona madhara sema maelezo hawajaandika kwakiswahili.
 
Back
Top Bottom