ushauri tafadhali

ushauri tafadhali

looks like huu ndiyo ushauri unaotaka kusikia



huu, nay..

cna maana hyo,bt mtu akitoa ushaur me naona ni vema ku-appreciate ushaur wake. suala la maamuz hubak kwa muhucka!
 
uhusiano utaleta ugomvi kati yaa emma na baba yake mdogo.

kumbuka ema na ana walikuwa wapenz kipind wapo teenage na sasa ni km miaka zaid ya 10 imepita c wapenz tena na wala hawana mawasiliano tangu kipnd hko.. . .
 
Back
Top Bottom