Ushauri tafadhali

Ushauri tafadhali

Haika

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,347
Reaction score
562
I am a married woman, 10 yrs in marriage.
Can you guys give an advice what I can do to surprise my husband? He is so good and I feel guilty, and I am out of ideas!!!!
I AM JUST BORED AND BUSY WITH THINGS, BUT HE NOW AND THEN THINK OF SOMETHING. MIMI NDIO SIJUI NIFANYEJE NA YEYE AJISIKIE.
 
Bibie wht kind of suprise do you need? Material one or sexual related?
 
I am a married woman, 10 yrs in marriage.
Can you guys give an advice what I can do to surprise my husband? He is so good and I feel guilty, and I am out of ideas!!!!
I AM JUST BORED AND BUSY WITH THINGS, BUT HE NOW AND THEN THINK OF SOMETHING. MIMI NDIO SIJUI NIFANYEJE NA YEYE AJISIKIE.

Haika, kwa kipindi cha miaka 10 katika ndoa bado hujafahamu suprise kadhaa za mumeo??? Hebu na wewe jipatie muda utafakari na kumfikiria mumeo then utapata the perfect suprise for ur hubby. Inaelekea mumeo amekuweka mbele every time. He is a good catch!!!!!

It is very strange for someone to seek advice on how to suprise a lover/spouse/friend!!!! Kwani my experince is not similar or people's preferences not similar!!!! Oh kazi ipo. Ngoja aibuke kicheche atakayeweza jua suprise hubby wako ndipo utajuta.
 
Mfano wa surprise wa mume unategemea na anapenda nini. Kwa mfano, kama ana gari, iangalie ina hali gani, i.e kama matairi hayaridhishi sana. Kama unajua kuendesha gari, muazime gari yake, kainunulie hiyo matairi mapya, tena yenye sports rim. Ipeleke car wash ikaonyeshwe vizuri, ing'ae kama mpya. Ipaki home na mrudishie funguo zake.

Kama gari hiyo iko sawa, mnunulie cover ya gari kwa ajili ya kuifunika hasa wakati wa usiku kuinginga na vumbi na umande, especially kama inalala nje (sio garage).

Kila la heri.
 
Kanunue edible underwear...some potion....then take him out on weekend getaway to a resort somewhere wherever you are....then give him a lap dance of a lifetime and more...
 
jaribu kuifanya relation yenu MPYA,kadri uwezavyo.pamoja na muda mrefu kwenye ndoa usifanye KUMZOEA SANA MUMEO.ukileta kuzoeana kwenye ndoa UMEKWISHA!

kumbuka katika usichana wako ni kitu gani kilikuwa kunamvuta sana kwako,you can practice it
 
kumbuka katika usichana wako ni kitu gani kilikuwa kunamvuta sana kwako,you can practice it

Sasa kama jamaa alivutiwa na wowowo enzi za usichana sasa limekwisha afanyaje alinew hilo wowowo? usikute mzee anaugulia tu kitu kinazidi kuyoyoma.
 
I am a married woman, 10 yrs in marriage.
Can you guys give an advice what I can do to surprise my husband? He is so good and I feel guilty, and I am out of ideas!!!!
I AM JUST BORED AND BUSY WITH THINGS, BUT HE NOW AND THEN THINK OF SOMETHING. MIMI NDIO SIJUI NIFANYEJE NA YEYE AJISIKIE.

Leo jioni (au muda wowote muafaka kwako na kwake) mkaribishe mkaoge wote bafuni. Kama hujawahi kumfanyia hivyo, nadhani atakuwa surprised tu 🙂!
 
Suprise, s up rise, mpe tigo

mmmmhhhnn!!! mkuu unataka aachike au? sio wote wanaopenda hiyo kipande ya pili bana! chonde chonde jamani, she sounds really and in need of help...miaka kumi iliyopita bado wengi walikuwa hayatoka matongotongo kama sasa na ukizingatia baada ya kuingia ndoani dada hakupata tena wasaa wa ku-explore yale yanayoweza kumpagawisha muzee kwa ghafla! .....mtoe out kwa gharama zako
 
I knew this would come...hahaaa.....!only that not coming from Fidel or ma bro Masa....na shem wake Yo*2!

hehehehe inabidi anogeshe kitu si anatelezeshea tu anajifanya kama hajui aone reaction yake kama mzee atashtuka kaingia mlango wa dharula akiona kimyaa hapo hapo anajikaza kisabuni baada ya mechi anamwambia lakini uliingie sio penyewe....mapenzi yanaanza upyaaaaaaaa.
 
Sasa kama jamaa alivutiwa na wowowo enzi za usichana sasa limekwisha afanyaje alinew hilo wowowo? usikute mzee anaugulia tu kitu kinazidi kuyoyoma.

yaani Fidel hujaseto kabisa....lol
 
yaani Fidel hujaseto kabisa....lol

hahaha wewe unasema sijaseto lakini wengine wananiona ni mtulivu na mnyenyekevu ninae jali na kuthamini nyumba na nyumba ndogo lazima nijiexpress kama kawa...ukimwona Msanii au Masanilo au Geoff pamoja na Belinda Jacob au WOS pamoja na Next level naamini wanakwambia nimeseto.
 
Kanunue edible underwear...some potion....then take him out on weekend getaway to a resort somewhere wherever you are....then give him a lap dance of a lifetime and more...

Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu vile. Hutamani anifanyie hivi, lakini naona siku zinaenda tu na siwezi kumwambia kwani haitakuwa na maana tena.
 
Sing for him in public. You should practice first.
 
Sing for him in public. You should practice first.

Wengine hawana vipaji vya kuimba sasa watafanyaje?

achukue likizo, akatalii naye sehemu ambayo amekuwa akiiota kama uwezo upo
 
Wengine hawana vipaji vya kuimba sasa watafanyaje?

achukue likizo, akatalii naye sehemu ambayo amekuwa akiiota kama uwezo upo
Hiyo ndiyo itanoga zaidi. Kama yeye ni mwimbaji tayari wala haitakuwa na mvuto sana.
 
Back
Top Bottom